alt text

Blueberry Skin Care Series



Anthocyanins za blueberry, ambazo huitwa "oral cosmetic", zinaweza kuzuia kujijenga kwa mikunyanzi, na hujulikana kama ndizo antioxidants zenye nguvu zaidi za asili hadi sasa. Bidhaa za SMILIFE Blueberry Skin Care zenye anthocyanins za blueberry kama kiambato kikuu zina tabia ya kuondoa mikunyanzi.Ni kiambato kinachoweka utando juu na kutoa virutubishi kwenye ngozi na kuondoa free radicals zenye madhara ndani ya ngozi. Faida a blueberry kwa ngozi yako zimeoorodheshwa hapa chini:


. Blueberry anthocyanin extract, kinga ya asili dhidi ya jua, inaweza kuzuia uharibifu wa ngozi kutokana na mionzi ya ultraviolet.

. Blueberry anthocyanin extract inafanya kazi mbili, kuilinda ngozi yako kwa upande mmoja na inaweza kusaidia upishanaji wa collagen, kwa upande mwingine, kwa sababu ina uwezo wa kuziondoa free radicals.

. Blueberry anthocyanin extract inaweza vile vile kuzuia uzalishwaji wa kimeng'enya (rigid protease) kinachochochea uugawanyikaji wa protini, na kuzuia madhara ya free radicals au protease dhidi ya elastin, na kwa hiyo kuboresha afya ya ngozi kuanzia ndani.

. Blueberry anthocyanin extract inaboresha mzunguko wa damu ndani ya mishipa midogo ya damu na kuongeza damu inayofika kwenye epidermis, na kwa hiyo, inaongeza mnyumbuko wa ngozi, inapunguza magonjwa ya ngozi na mikunyanzi na zaidi ya hapo inapunguza makovu na madoa.

. Blueberry anthocyanin extract ina kazi mbili zinazoanjia ndani hadi nje, ambazo ni kuzuia kujijenga kwa mikunyanzi na kuiweka ngozi kuwa nyororo na inayonyumbuka.



Bidhaa za kulinda afya ya ngozi za SMILIFE Blueberry Skin Care zinaweza kuikarabati ngozi yako vizuri, kuimarisha kinga asilia ya ngozi yako, kuirutubisha ngozi, na kukupa mwonekano wa usafi, uangavu na usio na mikwaruzo.



bidhaa za kutunza ngozi za green world





<<<<< MWANZO